Wilaya ya Biankouma
Mandhari
Wilaya ya Biankouma | |
Eneo la Wilaya ya Biankouma. | |
Nchi | Cote d'Ivoire |
---|---|
Jimbo | Montagnes |
Mkoa | Tonkpi |
Serikali[1] | |
- Prefect | N'Guessan N'Dri |
Idadi ya wakazi (2014) | |
- Wakazi kwa ujumla | 154,300 |
GMT | (UTC+0) |
Wilaya ya Biankouma (kwa Kifaransa: département de Biankouma) ni moja kati ya Wilaya tano za Mkoa wa Tonkpi ulioko Magharibi mwa Cote d'Ivoire.
Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa 154,300.
Makao makuu ya eneo hilo ni Biankouma.
Wilaya ya Biankouma sasa imegawanywa katika Tafara zifuatazo:
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.
Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Biankouma kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |